britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,969
- 45,797
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwaHayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena
Anaishi + anakula bata tuDAB aka PCM usimchukulie poa ,hajawahi kuanguka huyo mtu katika utawala huu wa JIWE.
Si usome kabla hujajibu?Ni majungu tu hayo,Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa
Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha
Makonda atarudi tuu
Anaishi + anakula bata tu
Bora watu sahivi wamchunie tu
Hajapoteza kitu
Ova
Nimekutana naye mara kadhaa kule masaki mwisho jirani na police post.Kabisa huyo mtu ni noma,ana pesa za hatari,kwasasa alichokosa ni media coverage tu.
Nimekutana naye mara kadhaa kule masaki mwisho jirani na police post
Kwenye uwanja ule wa mpira yupo naye anapiga tizi...umeona peach ile walivyoitengeneza
In short mwana fungu lipo mambo yake yanakwenda kama kawaida tu
Ova
Hajaanguka,jiwe kuna kitu anamuandaliahajaanguka, ila kuna siku ndio ataanguka kabisa. ajishushaye atakwezwa na ajikwezaye atashushwa, Neno la Mungu latuonya, unyenyekevu tujivike, Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema!
principle hii haijawahifanya makosa, hufuata mstari ulionyooka. hata akiinuliwa sasaivi kama atakuwa na kiburi, aibu kubwa inamsubiri.
Nimekutana na mchungaji Msigwa hali ni tete kiuchumi!Nimekutana naye mara kadhaa kule masaki mwisho jirani na police post...
Mkuu naona huzijui siasa za Tanzania,uliza akina Simbachimwene, Mwigulu,Nchimbi ya kesho huyajui na hujui aliyeaanguka juzi kesho kutwa anaweza akaamuka, angalia hata kule Zenj, makamu wa kwanza wa raisi ndie yule aliyetupiwa vilago miaka ya nyuma ,na hata Makonda unaweza shangaa kesho kaula tena zaidi ya huko nyuma,nani alitegemea Bashiru kuwa KMK?Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa....
hawa,lazma hali iwe tete,10% walizokuwa wanapeleka kwa CEO wao,bwana wembo,wangekuwa Wana wekeza zingewasaidia.mwenzao sugu alikuwa anagoma kuwasilisha 10% ,saizi Hana stress ana hotel ya maana .Nimekutana na mchungaji Msigwa hali ni tete kiuchumi!