Anguko la CHADEMA, ni mtego kwa CCM

Anguko la CHADEMA, ni mtego kwa CCM

Joined
Mar 12, 2014
Posts
21
Reaction score
3
Amini usiamini, nawapongeza wakazi wa Igunga kwa kuwapa nafasi ya mwisho CCM ili walipe madeni ya ahadi zao mpaka hiyo 2015. Hii itawafanya wawe wenye amani mioyoni mwao kwa kufanya maamuzi ya mabadiliko kwani watakuwa wamehukumu kwa haki ktk uchaguzi mkuu.

Ndiyo maana nasema ni mtego kwa CCM
 
ushindi au unyang,anyi kikwete angoje kufa mdomo wazi kwa kuamuru mateso ya watu kwenye demokrasia mwenyekiti anaruhusu chama chake kitumie tiss na police watu wanaona ataja teswa na yeye kama akina gaddafi kuchomekwa majiti na alanike yeye na kizazi chake
 
Back
Top Bottom