manock Member Joined Nov 7, 2016 Posts 97 Reaction score 37 Dec 8, 2016 #1 Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 8, 2016 #2 Ndio umeandika nini?
KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 Dec 8, 2016 #3 manock said: Ck hz ukienda kuban cd za bongo movie unaambiwa hamna lkn hakna djay maphia znapatkana cjui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii. Click to expand... kwa uandishi huu... Taifa lina mjaza choo tu
manock said: Ck hz ukienda kuban cd za bongo movie unaambiwa hamna lkn hakna djay maphia znapatkana cjui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii. Click to expand... kwa uandishi huu... Taifa lina mjaza choo tu
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,997 Reaction score 2,577 Dec 8, 2016 #4 manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... Kwa uandishi huu kufikia taifa la viwanda ni ndoto.
manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... Kwa uandishi huu kufikia taifa la viwanda ni ndoto.
ismailifaraj Senior Member Joined Mar 26, 2016 Posts 121 Reaction score 79 Dec 8, 2016 #5 Kwa uandishi huu analala kwa baba yake Na mama yake
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Dec 8, 2016 #6 Katavi said: Ndio umeandika nini? Click to expand... Mtani kwema? umenisaidia kuuliza swali nashukuru.
Katavi said: Ndio umeandika nini? Click to expand... Mtani kwema? umenisaidia kuuliza swali nashukuru.
B besari JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 288 Reaction score 196 Dec 8, 2016 #7 samahani andika tenaaa
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Dec 8, 2016 #8 Kwa uandishi huu wewe ni ki****
KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 Dec 8, 2016 #9 Kwa uandhishi huu... Tutabaki kuwa taifa masikini tu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 8, 2016 #10 Guasa Amboni said: Mtani kwema? umenisaidia kuuliza swali nashukuru. Click to expand... Niko poa mtani..
Guasa Amboni said: Mtani kwema? umenisaidia kuuliza swali nashukuru. Click to expand... Niko poa mtani..
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Dec 8, 2016 #11 Katavi said: Niko poa mtani.. Click to expand... Naona uandishi wa mwendokasi umekuacha njiani!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 8, 2016 #12 Guasa Amboni said: Naona uandishi wa mwendokasi umekuacha njiani! Click to expand... Hahahaah Mtani uandishi wa hawa vijana siku hizi ni taabu tupu. Hadi ujue ujumbe ulioandikwa hadi uumize kichwa kama unafanya mtihani wa hisabati.
Guasa Amboni said: Naona uandishi wa mwendokasi umekuacha njiani! Click to expand... Hahahaah Mtani uandishi wa hawa vijana siku hizi ni taabu tupu. Hadi ujue ujumbe ulioandikwa hadi uumize kichwa kama unafanya mtihani wa hisabati.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Dec 8, 2016 #13 Katavi said: Hahahaah Mtani uandishi wa hawa vijana siku hizi ni taabu tupu. Hadi ujue ujumbe ulioandikwa hadi uumize kichwa kama unafanya mtihani wa hisabati. Click to expand... Na hapo hawajandika zile alphabet pendwa zile x jasho lazima likutoke
Katavi said: Hahahaah Mtani uandishi wa hawa vijana siku hizi ni taabu tupu. Hadi ujue ujumbe ulioandikwa hadi uumize kichwa kama unafanya mtihani wa hisabati. Click to expand... Na hapo hawajandika zile alphabet pendwa zile x jasho lazima likutoke
Ludanha JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 552 Reaction score 647 Dec 8, 2016 #14 manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... Sikushangai ni kawaida yako huwa hueleweki. Kula ushibe kwanza
manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... Sikushangai ni kawaida yako huwa hueleweki. Kula ushibe kwanza
manock Member Joined Nov 7, 2016 Posts 97 Reaction score 37 Dec 8, 2016 Thread starter #15 Kama hujui kusoma bora uendelee kuumia tu maana nyiny ndo mnalalamka kila kukicha
manock Member Joined Nov 7, 2016 Posts 97 Reaction score 37 Dec 8, 2016 Thread starter #16 Katavi said: Ndio umeandika nini? Click to expand... We ndo ujui kabsa maana kwenu mlifundishwa kuwalaza watumishi wa umma chooni
Katavi said: Ndio umeandika nini? Click to expand... We ndo ujui kabsa maana kwenu mlifundishwa kuwalaza watumishi wa umma chooni
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,509 Reaction score 830,003 Dec 8, 2016 #17 Katavi said: Ndio umeandika nini? Click to expand...
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,740 Reaction score 22,490 Dec 9, 2016 #18 manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... ni wakati tu,kanumba mwenyewe alikua anavuruga tu,angekwepo yangekua yaleyale
manock said: Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii? Click to expand... ni wakati tu,kanumba mwenyewe alikua anavuruga tu,angekwepo yangekua yaleyale