Tatizo tunaongea sana lakini matendo zero. Saudia na nchi zingine wataeleweka maana kwao jangwa, sasa hawa Angola walisubiri nini kabla ya kufanya diversification. Utegemezi wa mafuta ni hatari, lazima ubuni mbinu zingine za kupata mapato kama nchi na hufai kusubiri miaka mingi halafu baadaye unaambia watu nchi haina kitu.