Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Nyumba ndogo ya makamba jimboni kawe, Angela Kizige Makamba, amepigwa chini jimboni kawe na mtetezi Alima Mdee. Mrs. Makamba anakaribishwa rasmi kuungana na Ephraim Kibonde pale Radio ya Wafu Clouds FM
Mzee, mzima Yusuf, salamu zikufikee popote plae ulipo mama Angela Kizige Makamba, Hoi
Teeeeeteeeeteeeeeee, kazi kwikwi mwaka huu
Uwiii kumbe wa makamba, watu walidai wa rais mpya wa zanzibar. Uwiii
duu kumbe ni mali za wazee nilitaka kutuma application kwa yule dada mmenitisha sana
Hawa jamaa hakika wanataka kututukana watanzania yaaaaani kweli wanatuchagulia mahawala wao watutawala. Mwisho wao umefika, hivi wanadhani tuna akili mgando kama za kwao, huyo Angela akaendelee kujifunza kuvaa vitenge, dhahabu na kuongeza mkorogo, siasa siyo fungu lake, labda awaombe Clouds wa mwajili kwa ajili ya udaku, upashukuna, vijembe, majungu na mengineyo mengi ambayo ni wazuri katika kuyafanya.
Makamba hoyeee, hyu mzee kwa ngono ajambo, sura kaa fisi