Elections 2010 Angela Kizige Makamba-Chali Kawe

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nyumba ndogo ya makamba jimboni kawe, Angela Kizige Makamba, amepigwa chini jimboni kawe na mtetezi Alima Mdee. Mrs. Makamba anakaribishwa rasmi kuungana na Ephraim Kibonde pale Radio ya Wafu Clouds FM

Mzee, mzima Yusuf, salamu zikufikee popote plae ulipo mama Angela Kizige Makamba, Hoi
Teeeeeteeeeteeeeeee, kazi kwikwi mwaka huu
 
Uwiii kumbe wa makamba, watu walidai wa rais mpya wa zanzibar. Uwiii
 
Hii ikiunganishwa na ile ya alipokuwa mkuu wa shule inaaonekana mzee wamo kwa haka kamchezo
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Hawa jamaa hakika wanataka kututukana watanzania yaaaaani kweli wanatuchagulia mahawala wao watutawala. Mwisho wao umefika, hivi wanadhani tuna akili mgando kama za kwao, huyo Angela akaendelee kujifunza kuvaa vitenge, dhahabu na kuongeza mkorogo, siasa siyo fungu lake, labda awaombe Clouds wa mwajili kwa ajili ya udaku, upashukuna, vijembe, majungu na mengineyo mengi ambayo ni wazuri katika kuyafanya.
 
:smile-big:HONGERENI SANA WAKAZI WA IRINGA MJINI..,ARUSHA MJINI.., KAWE NA UBUNGO....( NO UKEREWE SIJUI YULE MAMA KAMA NI HAWARA WA FISADI ) KWA KUWAPIGA CHINI MAHAWARA WA MAFISADI...SASA KAMA NI NGONO WAENDE WAKAFANYE KWENYE MI-NEC YAO HUKOHUKO UGOGONI
Uwiii kumbe wa makamba, watu walidai wa rais mpya wa zanzibar. Uwiii
 
Hawa jamaa hakika wanataka kututukana watanzania yaaaaani kweli wanatuchagulia mahawala wao watutawala. Mwisho wao umefika, hivi wanadhani tuna akili mgando kama za kwao, huyo Angela akaendelee kujifunza kuvaa vitenge, dhahabu na kuongeza mkorogo, siasa siyo fungu lake, labda awaombe Clouds wa mwajili kwa ajili ya udaku, upashukuna, vijembe, majungu na mengineyo mengi ambayo ni wazuri katika kuyafanya.

Makamba hoyeee, hyu mzee kwa ngono ajambo, sura kaa fisi
 
Attachments

  • Makamba.jpg
    Makamba.jpg
    32 KB · Views: 27
Jamani punguzeni jabza na hayo matusi ya nguoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom