Mmmh yaan hiyo hali isikie kwa mwenzako tuu tukio la namna hiyo linaumiza sana kichwaNina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa
Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa saana Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa
Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume
Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu ( rafiki) tulikuwa tuna panga wote
Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu
Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine
Nahisi na changanikiwa kabisa
Naona sina bahati kabisa
Sijui naombeni ushauri
Kwisha hiyoooo🤣🤣🤣🤣👍👍👍Wewe si Kwisha?Basi umekwisha
Grow up ...Kusaidia si mbaya. Lakini kwani hizo pesa ni zako? Mwambie unahitaji ruhusa ya wazazi wenye hizo pesa ili kubadili matumizi, vinginevyo utapoteza uaminifu mazima kwa wazazi wako na urafiki unakufaga. Grow up
grow up......Kusaidia si mbaya. Lakini kwani hizo pesa ni zako? Mwambie unahitaji ruhusa ya wazazi wenye hizo pesa ili kubadili matumizi, vinginevyo utapoteza uaminifu mazima kwa wazazi wako na urafiki unakufaga. Grow up
Tenda Wema Ndugu, Pesa sio kitu katika Uhai wa Mtu. Maisha haya hayatabiriki. Ningekua mimi..., Nisingejiuliza mara 2 ningempa Chap Mzee apate huduma.
Vaa viatu vya jamaa.Mawazo ya masikini kabla hawajapata pesa
All in all, kumbuka Pesa sio zako. Huwezi fanyia maamuzi hela isiyo yakoNina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa
Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa saana Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa
Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume
Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu ( rafiki) tulikuwa tuna panga wote
Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu
Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine
Nahisi na changanikiwa kabisa
Naona sina bahati kabisa
Sijui naombeni ushauri
Hapo sina neno naacha Mungu aamue tu akae akilini mwakoNina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa