Angekuwa mwanao...!!!

nikulipeleka kambi ya jeshi likaptiwe maadili mema..hahahaaaa
 
ningebadilishana na kopo la chooni ili nitawaze nalo tuu maana ni mavi matupu hapo
 
Kwa siku hizi ni kawaida na usishangaei wala kuhuzunika ni feshen hiyo na kwa macho utaliona ni dume la mbegu kumbe matendo yake ni kijinsia mbili je hapo utamwilimisha au utamwachea na ubarudhuli wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…