Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,974 Reaction score 24,504 May 29, 2011 #1 Nionavyo taasisi nyingi zinazopigania haki sawa kwa wanawake zinachochea uvunjifu wa ndoa mana zinawapa ujasiri mkubwa.
Nionavyo taasisi nyingi zinazopigania haki sawa kwa wanawake zinachochea uvunjifu wa ndoa mana zinawapa ujasiri mkubwa.
Jayfour_King JF-Expert Member Joined Nov 15, 2009 Posts 1,135 Reaction score 131 May 29, 2011 #2 Ni suala la wahusika (wanawake) kutumia akili yao, na kama wanafaidika na kuvunjika huko kwa ndoa waendelee kama vinginevyo binadamu ameumbwa na utashi na hivyo kusikiliza kila kitu bila kuchuja ni uhayawani!
Ni suala la wahusika (wanawake) kutumia akili yao, na kama wanafaidika na kuvunjika huko kwa ndoa waendelee kama vinginevyo binadamu ameumbwa na utashi na hivyo kusikiliza kila kitu bila kuchuja ni uhayawani!