Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,623
- 287,355
Hiyo ilikuwa kampeni na inaruhusiwa, na moja ya kampeni aliyofanya JK ilikuwa kuwaeleza wajumbe kwamba huyu alipinga nyungu, na kupinga kwake kulifanya atimuliweAcha ujinga jana JK kaeleza alivyomsaidia Faustine kupata huo ukurugenzi
Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjoHiyo ilikuwa kampeni na inaruhusiwa, na moja ya kampeni aliyofanya JK ilikuwa kuwaeleza wajumbe kwamba huyu alipinga nyungu, na kupinga kwake kulifanya atimuliwe
Mollel huyu huyu anayedai hela za Nchi ni za ccm?Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo
Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown Kenya ππππ
Faustine Ndugulile alikuwa mwamba kweli kweli, aliamua kumpa za uso jiwe na ushirikina wake.Ndugulile alifukuzwa Uwaziri baada ya kumpinga Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu namna ya kupambana na Korona, Magufuli aliamini katika Ushirikina wa Kupiga nyungu, Jambo ambalo Dr Faustine alilipinga
Yeye Dr. Faustine Ndugulile udaktari wake wa dawa za viwandani mbona hauku muokoa kutoka kwenye kifo ?Faustine Ndugulile alikuwa mwamba kweli kweli, aliamua kumpa za uso jiwe na ushirikina wake.
Je unafahamu chanzo cha kifo chake?Yeye Dr. Faustine Ndugulile udaktari wake wa dawa za viwandani mbona hauku muokoa kutoka kwenye kifo ?
Hatuongelei kuepuka kifo, tunaongeoea uwezo mkubwa aliyokuwa nao Ndugulile wa kumpa za uso jiwe.Yeye Dr. Faustine Ndugulile udaktari wake wa dawa za viwandani mbona hauku muokoa kutoka kwenye kifo ?
Kila mtu kamsaidia na makamba naye anadai amemsaidia, betina wa bungeni naye. bado mama Abdul aje naye atasemaAcha ujinga jana JK kaeleza alivyomsaidia Faustine kupata huo ukurugenzi
CHADEMA mbona mnalithishana; HATA hivyo tumesema tunagombea tena nafasi itakapotangazwa hatukusema tunaomba tupewe fursa ya kuziba nafasi ya mteule aliyefariki- UPO HAPO MSEMAJI WA CHADEMA JFKwanza Kabisa nachukua nafasi hii kutoa pole kwa Msiba wa Dkt Faustine Ndugulile, Lakini pole hii naitoa kwa familia yake tu, Sitoi Pole kwa Bunge wala kwa mwingine yeyote yule.
Baada ya Utangulizi huo naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu fupi sana, Ni hivi, Vyeo vya Kimataifa, kama vya WHO au UNICEF si vyeo vya kurithishana kama vyeo vya Tanzania, hivi ni vyeo vinavyogombewa baada ya Usaili mzito kutoka kwa Watu wenye akili nyingi, anayesailiwa ni mtu binafsi, Mtu huyo huchunguzwa mwenendo wake tangu huko kwao alikotoka kama yeye binafsi anao weledi.
Ndugulile alifukuzwa Uwaziri baada ya kumpinga Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu namna ya kupambana na Korona, Magufuli aliamini katika Ushirikina wa Kupiga nyungu, Jambo ambalo Dr Faustine alilipinga, na likamgharimu Cheo chake na mambo mengine ambayo sitayataja, jambo hili ni miongoni mwa yaliyomfanya apigiwe kura na Watu wengi, Alichaguliwa Dr Ndugulile, haikuchaguliwa Tanzania
Vyeo vya WHO si kama Ubunge wa ccm, kwamba kwa vile Selina Kombani kafa basi Ubunge wake tumpe Mwanaye, mwanaye ambaye kazi yake kubwa bungeni ilikuwa kuorodhesha dawa za kuongeza nguvu za kiume likiwemo vumbi la Congo, Nani aliyesahau hili?
Hoja yangu ni kwamba Kifo cha Dr Faustine hakitaifanya Tanzania ionewe huruma ili Hata wakipeleka mgombea Duni basi achaguliwe tu.
Tunawatakia kila la heriHuki vichochoroni naskia etu wakitajwa Dr Janabi, Dr Kigwangala na Dr Molel...ππ
Kiingereza chake sasa .... Kiswahili chenyewe changamotoNa Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo
Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown ππππ
Masahihisho: Mimi si msemaji wa Chadema, Ni mwandishi tu hapa JF kama ulivyo weweCHADEMA mbona mnalithishana; HATA hivyo tumesema tunagombea tena nafasi itakapotangazwa hatukusema tunaomba tupewe fursa ya kuziba nafasi ya mteule aliyefariki- UPO HAPO MSEMAJI WA CHADEMA JF
Mkuu usituone sisi wote humu ni wajinga na usinizuie kutoa maoni yangu- maoni yangu ni kuwa wewe ni MSEMAJI WA CHADEMA HUMU JFMasahihisho: Mimi si msemaji wa Chadema, Ni mwandishi tu hapa JF kama ulivyo wewe