Wanajiibia wao wenyewe wanadhani wanamkomoa mwajiri wao siku hakishindwa kuwalipa mishahara wasilalamike iliwai tokea kipindi cha wale wafanyakazi wa max malipo walikua wanaiba sana matokeo yake mwajiri akashindwa kuwalipa mishahara baada ya kuwa anapata hasara.Hili ungelifikisha kwenye ofisi za UDART nadhani wangelifanyoa kazi haraka kutokana na ushahidi. .
Unoko unoko tu
We sio mzima kichwani bibie, unatetea wizi kisa bwanako yupo pale mwendokasiHili ungelifikisha kwenye ofisi za UDART nadhani wangelifanyoa kazi haraka kutokana na ushahidi. .
Unoko unoko tu
Mara ya pili hii, jana nlikuwa nawahi sehemu wakanipa tiketi inasoma saa 8 mchana wakati muda huo ni saa 3 kasoro usiku. Nimefika mbele kidogo ile kuisoma na kukuta hivyo, wakati nairudisha eti ananipanga kwamba huwa wanatoa tiketi nyingi na zinazobaki hawezi kuzitupa![emoji23][emoji23][emoji23] Nikamwambia weeeh nipe tiketi sahihi, mwamba kinyonge sana akanitolea kwenye mashine[emoji2]Hili ungelifikisha kwenye ofisi za UDART nadhani wangelifanyoa kazi haraka kutokana na ushahidi. .
Unoko unoko tu
Hivi UniqueMan na Unique Flower ni ndugu eeh? Maana wote wanaonekana ni kolofi mtaani π π πMara ya pili hii, jana nlikuwa nawahi sehemu wakanipa tiketi inasoma saa 8 mchana wakati muda huo ni saa 3 kasoro usiku. Nimefika mbele kidogo ile kuisoma na kukuta hivyo, wakati nairudisha eti ananipanga kwamba huwa wanatoa tiketi nyingi na zinazobaki hawezi kuzitupa![emoji23][emoji23][emoji23] Nikamwambia weeeh nipe tiketi sahihi, mwamba kinyonge sana akanitolea kwenye mashine[emoji2]
Ndo vile kusema kila mtu atakula kazini kwake! Akifanya kwa watu kumi 6500 inakuwa posho daily.Acha wale kwa urefu wa kamba yao.
Mtaani hakufai kila ukigusa unga,umeme,maji,bando unakutana na ngumi Ndoige
Sikutaka kuliwa sasa[emoji23]Kula kulana, naskia ukiwashtukia wanakuuzia nusu bei
Ndiyo maana mradi wa BRT kukamilika labda tarumbeta ipigwe kama ngomaNdo vile kusema kila mtu atakula kazini kwake! Akifanya kwa watu kumi 6500 inakuwa posho daily.
Mkuu umetumia kigezo gani kutupa sifa hiyo[emoji3]Hivi UniqueMan na Unique Flower ni ndugu eeh? Maana wote wanaonekana ni kolofi mtaani π π π
Kilichotetewa hapo ni nini? Kuambiwa kuwa aende kutoa taarifa mwendokasi?We sio mzima kichwani bibie, unatetea wizi kisa bwanako yupo pale mwendokasi