Angalizo kwa wenye ndoa tu

Umetiririka vyema lakini umesahau moja kubwa na mhimu sana... NJULUGU/NGAWILA baba bila hiyo what you listed are definetely not applicable.
 

kimsingi umeongea point sana mkuu, ila kwa ushauri wangu asilimia 90 ya migogoro ya kwenye ndoa ni mwanamke ndio kasabisha na sitaki ubishani sana juu ya hilo kwani nina data za kutosha kutetea hoja yangu,ukiangalia hata dini zetu chanzo cha kuanguka ilikuwa ni jinsia ya ke.

kwa wakristo ukianzia adam,samson,daudi, suleiman,naamani,herode.nk.utakuta walikwama sehemu au kuanguka sababu ya wanawake zao hivyo mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana ambae unatakiwa uishi nae kwa akili kama maandiko yanavyosema japo kuwa ni mama zetu inatakiwa tuwaheshimu ila ktk ndoa ishi nae kwa akili sana na tahadhari kubwa sana usije ukafanya kama wazee wetu wa kwenye biblia wengi wao walianguka.

sisemi umpuuze au kumdharau ila kuwa makini kwenye ushauri na maoni kwa kuangalia negative side na positive side ya ushauri anaokupa.usifanye mambo kwa haraka haraka hata yaliyo orodheshwa hapa mengine ni maigizo kwani hayatekelezeki na hata ukifanya yote siku zote hawawezi kuridhika watataka ufanye zaidi na utajikuta unaumi either kiuchumi kwa kutoa pesa nyingi, kijamii kwa kugombana na hata ndugu na jamaa pengine hata wazazi waliokuzaa ,kimaendeleo kwa kuiga life style ya mashoga zake kwa kununua vitu vingine visivyo na umuhimu kwa wakati huo.

siku zote baadhi yao hawaridhiki na nafasi zao ktk ndoa hata kama ukifanya vyote hivi na zaidi ya hivi, usipo tumia akili atahitaji kukutawala na madaraka zaidi hivyo unaweza ukayumbishwa na kuwa mtumwa na kukosa sauti kwenye ndoa yako.kuweni makini na hizi haki sawa zao wanazodai kila siku mtakuwa mnaburuzwa na ke.
ishini na wake zenu kwa akili tu kama maandiko yanavyosema...nawasilisha....
 
Hawa jamaa hawana fadhila ukimfanyia hayo yote anajua we zaifu hufurukuti atapatia chans.hawajui tofaut y weakness and kindness
 
Hili si angalizo kwa wanandoa mbona liko upande 1 tu? Hebu waambie ke... Wafanye yanayowapasa Kwenye ndoa waache kuiga Bongo movie. Ukiwafanyia hayo mbona anakuona bushoke.
 
Next time ufanye summarization,muda wa kupitia makala yote hiyo nautoa wap au lengo lako nishtukizwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…