Uko sahihi kabisa. LAKINI kumbuka hapa ni Afrika and jiwe was consolidating power. Magufuli hakwenda kusoma PhD ili kuongeza knowledge for the unknown phonomenon aroud the worl, alienda ili "karatasi" la PhD limwongezee uwezekano wa internal recognition kupanda cheo na kuaminiwa. Siyo to invent/decipher knowledge ndiyo maana African scientists ni data collector na siyo researchers!Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-
- Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
- Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
- Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
- MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Mimi sina cha kukosoa maana sina hata shahada moj,ila nategemea kujifunza kutoka kwenu wenye shahada zenu.hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.
PhDUtafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data.
Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea degree ya UZAMII tu (Masters) lakini aliacha kazi.
Kwanza unapoanza kufanya utafiti ili mwisho uandike kitabu (THESIS) baada ya kuwa swali(Research Quotation) cha kwanza ukusanyaji wa data zako inabidi uwe na uhakika nao kwa hiyo huwezi kumwamini mtu akutafutie, kila kitu inabidi ufanye mwenyewe,sasa utakuwaje waziri na pia unaenda chaka kukusanya data? Kama siyo unatuma watu?
Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-
Wasomi wetu wa PhD wa hivi karibuni wengi wao ni mawaziri ni wapesi mno , siyo Intergent, hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.
- Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
- Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
- Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
- MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Kama utabisha mchunguze tu mmoja wapo utabaini kasoro hizi.
Ninayeandika hoja hii PhD yangu niliipata mwaka 1972 mwezi March Propaganda Fide University Vatican city karibuni mnikosoe.
Haya una phd umeifanyia nn nchi yako ambacho kina alama yako hadi sasa. Phd yako tanzabia kama nchi imefaidika nayo niniUtafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data.
Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea degree ya UZAMII tu (Masters) lakini aliacha kazi.
Kwanza unapoanza kufanya utafiti ili mwisho uandike kitabu (THESIS) baada ya kuwa swali(Research Quotation) cha kwanza ukusanyaji wa data zako inabidi uwe na uhakika nao kwa hiyo huwezi kumwamini mtu akutafutie, kila kitu inabidi ufanye mwenyewe,sasa utakuwaje waziri na pia unaenda chaka kukusanya data? Kama siyo unatuma watu?
Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-
Wasomi wetu wa PhD wa hivi karibuni wengi wao ni mawaziri ni wapesi mno , siyo Intergent, hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.
- Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
- Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
- Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
- MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Kama utabisha mchunguze tu mmoja wapo utabaini kasoro hizi.
Ninayeandika hoja hii PhD yangu niliipata mwaka 1972 mwezi March Propaganda Fide University Vatican city karibuni mnikosoe.
Inasikitisha sana mkuu. Namkumbuka Ben Saanane. 😭😭Subiri timu walamba asali waje wakupopoe za uso wakikwambia kuwa, "pambana na hali yako maana hakuna asiyependa vizuri/vitamu [emoji16]
TZ sihami ng'oo maana si kwa raha hizi [emoji28]