kekuwetu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 327 Reaction score 99 Jun 13, 2012 #21 Power said: Akiwa wasira rais, je utahama continent??? Click to expand... Mungu saidia hilo lisije tokea daima, atalala na kuota tena kwa kupiga kelele kwenye mikutano ya kimataifa, ataaibisha na kufedhehesha Taifa langu la Tanzania.
Power said: Akiwa wasira rais, je utahama continent??? Click to expand... Mungu saidia hilo lisije tokea daima, atalala na kuota tena kwa kupiga kelele kwenye mikutano ya kimataifa, ataaibisha na kufedhehesha Taifa langu la Tanzania.
M Moses msisia Member Joined May 3, 2011 Posts 57 Reaction score 9 Jun 13, 2012 #22 mamajack said: mpuuzi sana wewe.pozi likowapi sasa.mwehu nini wewe? Click to expand... Anamsikiliza huyo ja maa kwa makini
mamajack said: mpuuzi sana wewe.pozi likowapi sasa.mwehu nini wewe? Click to expand... Anamsikiliza huyo ja maa kwa makini
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Jun 13, 2012 #23 Annael said: raisi wa wapi? akiwa raisi nahama nchi. Rais anasinzia bungeni!! Click to expand... http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/146406648.jpg
Annael said: raisi wa wapi? akiwa raisi nahama nchi. Rais anasinzia bungeni!! Click to expand... http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/146406648.jpg
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jun 13, 2012 #24 Watoto wa fb wamevamia jf
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 14, 2012 #25 Naona Nassari keshaanza kuota nywele kama Runi--Pesa jamani!!!!!!!!!we acha tu
Badu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 407 Reaction score 106 Jun 14, 2012 #26 TIQO said: Watoto wa fb wamevamia jf Click to expand... acha 2 hamie kwani nyumba yako hii?
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Jun 14, 2012 #27 jinsi inavyoonekana hapa km vle zitto hamkubali kabisa huyu dogo.kwa wale wanaojua kusoma picha na sio maandishi.
jinsi inavyoonekana hapa km vle zitto hamkubali kabisa huyu dogo.kwa wale wanaojua kusoma picha na sio maandishi.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jun 14, 2012 #28 jamii forum imevamiwa si bure