wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Hujasema kina size gani babangu. Manake kwa hiyo bei! Lazma kizidi uwanja wa mpira
Hujasema kina size gani babangu. Manake kwa hiyo bei! Lazma kizidi uwanja wa mpira
25x25m
25x25m
280m
Duuuh size hiyo kwa bei hiyo sehemu yenyewe Mbezi kavu, basi kumbe mimi ni bilionea wangu, robo eka Mbezi Beach.25x25m
Mkuu chukua 270m tumalize biashara bila kelele..