angalia hiyo bajeti

Ndo maana Serikali zinapandisha kila siku kodi kwenye Ulabu kwa sababu kuna hela nyingi!
1: Bajeti ya Kugharamia Urodah ni Mafungu manne
2: Bajeti ya Kununua Ulabu ni mafungu matatu
3: Bajeti ya Pango, Chakula na Usafiri ni fungu moja!

Kumbe chinini pana kula kuliko mdomo!
 
Mh! naona malaya wamepewa kipaumbele. hatari sana.
 
Sio bajeti ya Bishanga hiyo..!?? ngoja..
 
Last edited by a moderator:

hiyo ni bajet ya mwanaume sarawili
asiejitambua na asie na majukumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…