Angalia hii picha, halafu toa maoni yako

Namkubali sana huyu jamaa wa mbele upande wa kulia mwenye shati jeusi na jinsi, aliyenyoosha ngumi juu (Marcus). Ninavyomfahamu kwa ukaribu ni mwanahrakati wa ukweli asiye muoga.
 
Aiseee baba yangu aina maana ya chadema hiyo no peace and love kwa dr na huyo kijana hapo ni mimi
 
Huko nyuma yuko jamaa kavaa fulana ya Vodacom ya Chama gani?
Hapo kila mtu na ukereketwa wake, na huyo aliyevaa Kombati jeusi ni Marcus aligombea kura za Maoni Mvomero na Makalla akawa wa3 nyuma ya mbunge aliyekuweko enzi hizo.
Alama ya V ni alama ya ushindi hapo kila mtu ana vyake kamshinda Aghondi, GOVT, TISS, nk
 
Kweli wafuasi wa magwanda mmekua misukule .kila atakae weka vidole viwili juu ni cdm!
 
Kila jambo na wakati wake. Wakati wa ccm na wakati wa chadema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…