Angalia hii Kitu Uitolee maelezo

ni kwamba washikaji watamtosa atabaki peke yake kwenye mbio ya kuwania uraisi na hatakuwa na msaada!
 
ESIKUROOO pinda apetaaaa wanzake wazama.
 
Kawatosa wenzake majini yeye anaendelea na safari peke yake
 
aliyebaki mtumbwini hajui anakokwenda wala hajui kuendesha mtumbwi hivyo hawezi kufika na akifika atakuwa amepotea!
 
Mpende jirani yako kama nafsi yako. Pinda amekosa wito huo wa biblia. Lakini you never know, atawapa ubalozi!!!!!!!!!
 
Ni kama bwana Mizwenge Iliyopinda haamini kama kapona...
 
Pinda kawatosa wenzake ambao alipaswa awe nao kwenye kutapatapa majini, ila kibaya, haangalii anaenda wapi, kuna mdomo wa mamba upo mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…