Android wamebolonga tena huko Hong Kong kwenye uzinduzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Android wamebolonga tena huko Hong Kong kwenye uzinduzi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by i411, Oct 19, 2011.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  [​IMG]Adroid wameshindwa tena kwenye uzinduzi wa OS huko Hong kong ikashindwa kufanya kazi wameleta features kama una weza fungua simu na sura yako badala ya kuweka number au kuswipe. Da lakini kama kawaida hakuna kitu kinafanya kazi kama wanavyo advatize. Ngojea tusubirie Apple walete hizo features kwa ios waonyeshwe jinsi zinavyotakiwa kupiga kazi. Hapo chini ni tangazo zuri la android lakini usimezee hakuna kitu kinafanya kazi hivyo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kampuni inayoongoza kuboronga na kuwaibia wateja ni Apple
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  last time i checked they had 90% satisfaction rate from their customers, find the next company close the figures wil be about 70%. If you believe what you read from some lonely writers hating apple just google around when apple release their product and you will get a picture and decide for your self.
   
 4. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo siyo maelezo ya end user au customer kama mimi na wewe ni malezo ya chip maker wanaotengenza chip zinazotumika ndani ya apple. Apple ni jina tu na kwa kuwa ni kampuni ya US basi wanaibiwa wengi. Ingekuwa hiyo hiyo apple ni ya China PR yake ingekuwa mbaya sana.. As simple as that

  Mtaalam wa Intel Corp. anaona Apple msisitizo wake ni vifaa vyao viwe "ki- Miss" "MIiss" na sio perfomance. Wao msisitizo ni form and look tu mengine baadaye.

  Wateja wengine wenye utaalam wanasema hivi

  MWingine ana eperince hii
  Apple wako best kwenye marketting tu but technically...............................
   
 5. i411

  i411 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  umeona apple wakiadavatizi bongo au wafuata mkumbo tuu unavyosoma online. Siye tunaona product tunajaribu na tunatamani hiyo ndo habari hao unaosema ni maexpati mimi nazani ni wakuchukia apple tuuu.
   
 6. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata wewe na mimi ni end user ina maana wewe una technica detail zaidi uhusu apple kuliko mtaalam wa Intel Una knowledge zidi kuzidi supplier watengea chipzinazotumika ndani ya apple.

  Labda nijulishe wewe kwenye elctronics unajua nini mabacho huyu hajui huyu Intel Corp. (INTC) engineer. Joshua Linden-Levy hajui ambaye kampuni yake ina supply chip apple

  This is the ugly truth for apple fans

  • Apple are ony best in marketting.
  • Apple products are overpriced
  • Apple most priority is form and look. Other things comes later
   
 7. i411

  i411 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Are your expertise are not the same expertise who said iPhone ingeshindwa walivyoleta sokoni na si ndo hao hao unaowaita exparties walisema pia iPad ni iPhone kubwa tuu na kamakituko angalia sasa iPad ndio king wa soko jipya la tablet computers na experts wako bado wanatamani other competitors wawapiku apple ndoto zao…….. Mimi ni end user na nikiona mahali kama karestorant watu wengi wamejaa humo naingia sio kale karestorant kanaonekana kachafu na viinzi wenige ndo niende. Hiyo ndo akili yangu kama mteja kama yako ni ya kiexpert wewe nenda kwa hili restaurant ambayo haina wateja ujionee mwejewe kwanini haijaa jaa.
   
 8. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Samahini naona umeniacha njiani. Unaweza niambia wameboronga kivipi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. i411

  i411 JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Features did not work like their suppose to work. Jamaa alikuwa anafungua simu na surayake kwa steji na ikamkatalia
   
 10. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  its unfinished software,thats why the test units ddnt have the feature! Du acha kuhate bana i4 ICS means business!
   
 11. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  What about if he was trying to open a phone which was not his? They way I see it ni kwamba alichukua simu ambayo sio yake akajaribu kuifungua kwani wakati wa ku launch hizo product they do not use their own phone but rather phones which are special for the launch event. Unless you have information indicating that he used his own phone to demonstrate the technology then you are wrong in arriving at your conclusion.

  Look at the clip showing the entire event before jumping to conclusions.
   
 12. i411

  i411 JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kwa hiyo unataka kusema walikuwa hawajajitayarisha sasa si ndo maana nikasema wamebolonga kama kawaida yao sioni kipya wewe utapandaje kwa steji alafu hujui ni phoni ipi ya demo kwani unazani wanasimamishaga tuu jamaa kutoka kwa umati aoneshe demo. Anyway hayo ndo mambo ya adroid live live sasa fikiria ukiwa unaishi na hako kadivice..... itakuwa kero tupuuu. Ni kama mtu anakuletea keki ya harusi ya gorofa alafu inaletwa imevunjika vunjiaka, hata huwezi tambua ninini. Hiyo tunasemaga ni kuboronga........
   
 13. HT

  HT JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  i411 is apple addict. I think you drink iTea in the morning and get iLunch and finally iDinner.
  Huwezi ona kengeza maana umependa chongo!
  Apple ina mapungufu makubwa tu pia! Na hiyo story yako inaweza kuwa influenced na iAddiction. Haiwezekani watu wafanye iDemonstration bila kuwa walishafanya iMajaribio kabla.
  Usiwe too iFanatical :)
   
 14. i411

  i411 JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  you have got cute imagination of my ilife well unfortunate i haven't got to that level. Im just standing for the best. as a customer i have said already i would not got to the restaurant were there are no customer or i feel i wil get a bad service. unluck for adroid are one of those restaurant were your likely to get a bad service just a feeling and like the flop presentation they had says it all. with Apple all the research i do by my self and decide i only find out cutover are willing to wait for even a week to get a device, thats tell me more of the satisfaction of the product than any specialist would have.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Usage share of Operating System
  [​IMG]
  Source Wikipedia


  [h=1]Android Nipping at iOS’ Heels in Market Share [STATS][/h]
  [​IMG]

  Sourcehttp://mashable.com

  [h=1]Android Is Destroying Everyone, Especially RIM -- iPhone Dead In Water[/h]


  Read more about this and see the statistics at : http://articles.businessinsider.com/


  Just Google "Android vs Ios" Uone mwenyewe uachambuzi wa wataalmu tena wengine wale wa US nyumbani kwa IOS


  Bad service wanaongoza Mac na Apple. Mkuu wewe ni mshabiki wa Apple kam vile watu tunavyokuwa wshabiki wa timu za soka badala y kuwa wasabiki wa mchezo wa soka.

  Presentation Sio simu Mkuu . yaani wewe unajudhge kitu kwa presentatin ya stjeini. Ukiwa na mpuni unaweza kuajiri mwanasheria kwenye kazi ya uinjinia just because alizungumza vizuri wenye interview. Kuna criteria za evalution na hsio busara kufanya kwa cosidaretion ya criterion moja.Unless u re corrupt. Ndio maana hata bongo Tulipata Richmond sababu eti bei yao iliuwa chini. kumbe kampuni ya kwenye brifcase

  Behind the scene Apple wa "technical flop" nyingi sana. User wana equipmenet zenye bug na flaw kibao. Thanks we are end user
  Kama alivyosema jamaa juu it is because if the near to perfect maraketting starttegy. B ut if u think andrd is bad then IOS is worse than android. Alwasy be worried of closed systems
   
 16. i411

  i411 JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Matatizo yenu nyie watu wa kambi ya android mnafuata sana hawa watu mnawaita exparties na ndo wanawapotosha na mwanunua bidhaa ovyo ndo hawa hawa wanaoitwa expaties wanaiingiza nchi yetu katika mikataba mibovu wao wakiendelea kutazama kwa pembeni. hebu just google people waiting for ipad and iphone ujionee mwenyewe alafu nenda google people waiting for androi devices uone tofauti hata huitaji unaoita exparties wakusaidi common sense to ndo inahitajika na bloggers.
   
 17. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  If you don't own iProduct you don't have an authority to comment.I have been using apple products for years and they are more than perfect and boost my productivity.speak from your own experience rather than copying and pasteing from haters experience.
   
Loading...