teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Yeah hiyo haipo kati ya hizo zote ulozitaja
Mbona hii yako bird w5000 inatunia Android 2.1 OS,unataka nini tena..samahani kwa usumbufu, naomba mnieleweshe nina simu aina ya bird w5000 touch screen, je cm hii iko upande gani ipad,iphone,android nk. nauliza hivyo kwa sababu nasikia os nyingi lkn sielewi chochote juu ya hizo na je nikitaka cm nzuri yenye os ya android ninunue ikoje?
Mchina!
Hizo simu za chinese substandard hazina ishu kaisaaa, ni bora ununue brand ya kueleweka hata kama ni kwa bei juu kidogo, unapata kitu unachoilipia!
View attachment 56434
Mbona hii yako bird w5000 inatunia Android 2.1 OS,unataka nini tena..
mara nyingi huwa nakutana na neno brand hiki ni nini pia?