System web view inasaidia kufungua browser ndani ya app kwa mfano umeingia kwenye app ya google now ukasearch kitu chochote kile baada ya ile result page ya g.now ukiclick link itafungua page ya chrome but still ukiwa kwenye app ya google now...au kwa mfano umeona link ya site instagram or whatever app you are using ukiclick hiyo link badala ya kuiua insta na kufungua browser itafungua page ya hiyo link huku ukiwa bado upo instagram....its usefull but not super important unaweza ukaroot na ku uninstall bila shida yoyote