ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Kwenye iOS always first sio kweli ungesema most of the time first kw mfano FB Home itaanza na Android kwnza na haijajulikana lini wata implement kwenye iOS ila nakubaliana na ww iOS wako more lenient hasa kwenye upgrades i happen to use iphone 4s haikuwa na complications kbsa kwenye upgrades ila nw natumia galaxy young kwnza sio kila upgrade unaweza kuidownload halaf mfano some inovations mfano iyo FB Home ni mpka uwe na Android 4.1 na kuendelea. Android wako kwenye smart device nying ndo mana wanagain wide popularity sna na nying ni rahisi kuzipata km hizi galaxy young unlike zile za apple ambazo majority zinaonekana km expensive so kw market use android ina wide users weng kuliko iOS lakin still iOS wako vzur zaid though as u said mwisho wa siku inategemea na uelewa na aina ya matumizi ya device yako ndio yanayo determine which OS suits u..
Dh! hili jukwaa ni juzi tu kuna mdau mmoja alitoka kulisifia kuwa wadau wake wengi ni wastaarabu, lakini naona watu wanataka kuligeuza kama jukwaa la mipasho la siasa kule au ndo limevamiwa?
Ishu ya integration za contacts za kwenye social network mbona ipo kwenye android kitambo tu binafsi naitumia sna ni kufanya synchronization tu ya contacts.. Ukisema hili jambo gen android unapotosha ukweli.. habar ya kusema android ukiandika mistar miwili tu ya app unaikuta kwenye store naomba tuongee kw evidence na sio kua provoked emotional tu Google ni world brand kila mtu analifaham hili ishu ya kiruhusu unlikely people wachafue brand yao is in appropiate cz hata wao wanashindana na hao hao apple unless utuambie kw ushaidi ni app gan android ya code ya two lines umeikuta na ambayo huko iOS waliikataa. Ww mwenywe ulikiri kua mwisho wa siku inategemea na matumizi yako ili kujua which OS is good na ukasema sim ina matumizi meng so i want to tell u sio kila user yuko focused na applications za kiofisi kuna group la users who likes to intergrate kwenye hizo toyin customization na gaming lazima uwafkirie kibiashara si kila mwenye smart phone ni businessman na adult kuna teenagers weng wanakesha kwenye social networks na kucheza game izo customazation na toyin kwao ni privilledge kuzi aaply hii ni buzness strategy on how to hav em in palm.By mossad007
Kwenye iOS always first sio kweli ungesema most of the time first kw mfano FB Home itaanza na Android kwnza na haijajulikana lini wata implement kwenye iOS ila nakubaliana na ww iOS wako more lenient hasa kwenye upgrades i happen to use iphone 4s haikuwa na complications kbsa kwenye upgrades ila nw natumia galaxy young kwnza sio kila upgrade unaweza kuidownload halaf mfano some inovations mfano iyo FB Home ni mpka uwe na Android 4.1 na kuendelea. Android wako kwenye smart device nying ndo mana wanagain wide popularity sna na nying ni rahisi kuzipata km hizi galaxy young unlike zile za apple ambazo majority zinaonekana km expensive so kw market use android ina wide users weng kuliko iOS lakin still iOS wako vzur zaid though as u said mwisho wa siku inategemea na uelewa na aina ya matumizi ya device yako ndio yanayo determine which OS suits u..
Apple hawataruhusu iOS kuvalishwa nguo kama mtu aliyekuwa utupu. Hicho ndicho kitakachofanyika kwenye Androidna hii Home ya Facebook. Na huu ndio ugonjwa walioambukizwa watumiaji wa Android kudhani kuwa ni jambo zuri, na hii ndio sehemu ya kile kinachoitwa customisation. Swali ni nani atakayekubali kui-ditch TouchWiz ili avalishe Home kwenye Samsung S3 au S4 yake? au nani ataivua HTC One yake Sense 5.0 na Blink Feed halafu aweke home? Haya ndio mambo tunayoyaita toying (customisation) ambapo hayana maana yoyote. Ukweli ni kwamba si kila customisation ni nzuri au ina matumizi ya maana, to be precise nyingi kati ya customisation ni "TOYING", hakuna meaningful intergration inayofanyika.
Lakini Android users were brainwashed to believe ni jambo kubwa sana tena zuri. They think its freedom! Yes it is, lakini kuna mess kubao kwenye freedom hii. Although as well kuna mazuri mengi tu. Hii freedom ndio iliyosababisha nyingi kati ya apps laki 7 za Android kuwa hazina quality wala standard, leo wewe hata ukiandika app yako ya mistari miwili kwenye Android ukii-submit kwenyo iko kwenye store. Apple ukipeleka app ya kipuuzi wanakurudishia mwenyewe.
Wakati hili ni jipya kwenye Android, iOS imeshafanya meaningful intergration ya Facebook na Twitter kwenye settings siku nyingi sana. hii ni deep intergration inayoruhusu simu yako kufanya mambo muhimu na sio kuipamba, mfano contact zako za facebook zinaingia kwenye simu kama contact za kawaida kwenye app ya contact.
unaweza ku-update tweets na post kwenye facebook kwa kutumia information centre bila ya kufungua app na pia intergration ipo kwenye mambo mengi sana tayari ikiwa ni pamoja na kalenda na apps nyingine.
Sasa hili ni jipya kwa watumiaji wa Android lakini si jipya kwenye iOS, ingawa implementation imetofautiana. Na ukweli ni kwamba i see great failure katika hili hasa ukizingatia kwamba Home screens na Launchers zipo nyingi na nzuri hivyo ni wachache tu watatumia launcher na Facebook (Home) ambao ni facebook addicts, tena wengi watai-ditch baada ya muda mfupi tu, huwezi kufanya Facebook ndio jambo kuu katika simu yako, simu ina matumizi mengi muhimu na mazuri na kuifanya itawaliwe na Facebook sidhani kama ni muelekeo sahihi.
lol ule upuuz wa fb home hutaukuta hata sku moja kwenye ios, unafkiri apple anataka mambo hayo?
AFAIK you still sound like a biased fanboy ...Android V iOS
Uzuri wa Android ni customisation aka toying with devices, hivyo kutumia Android ni fun, mara umebadili launcher na home screen, mara umebadili firmware, mara umeweka widget hii mara ile, mara live background n.k. Hivyo inasaidia kupoteza muda (kama una muda wa kuchezea) na kutoichoka simu au tablet yako. Huu ni ukweli usiopingika.
Lakini sura ya pili ya ukweli ni kwamba kama una shughuli za muhimu za kiofisi, biashara au masomo basi iOS ndio mpango mzima. Mbali na takwimu maridadi za chief-mkwawa wacha tupitie baadhi ya mambo muhimu ambayo Tong na wenzake wa CNet wameyaacha:
Mlinganyo wa Apps:
Ukiangalia hata like for like apps za kikazi au mambo muhimu utangundua iOS apps zake zina ufanisi mzuri. Mfano Compare iWorks (Pages, Numbers na Keynote), kisha weka intergration yake na iCloud kwa upande wa iOS halafu ulinganishe na Google Drive na apps zake za office au viji-app uchwara vya office vilivyotengenezwa na developers binafsi, ukilinganisha magazines na iOS na Android utagundua kuwa ukiwa na kazi muhimu basi Android si tablet wala simu ya kutumia.
Ujanja wa Akina Tong
Hawa kina Brian Tong nao wanalinganisha sijui Game Centre, Widget na mambo ya kipuuzi, wanaturusha steam tu. Kwa nini wakati wa Ecosystem kwa mfano wasilinganishe iBooks na Books (ya android)?, au ITunes University na nothing (kwenye ecosystem ya Google hakuna kitu similar iTunes University), iBook Author na nothing (again kwenye google hakuna). Hivyo ukiangalia kwa makini yaani kuna gap kubwa mno kati ya iOS na Android ecosystem. Kuna mambo kama vile ku-set location based reminder, iCloud Sharing kwa apps zaidi ya 12
Entertainment
Au kwa upande wa entertainment wangelinganisha iTunes (kama App) na kijiapp cha Play Music kwenye Android, au Play Movie na Video. Halafu ongeza seamless intergration na iTunes ya Computer. Pamoja na kuwa Google wamesha-copy na kutoa Google Play ya Computer lakini ukiitumia utajua ni cloud service tu na sio entertainment centre ya computer kama ilivyo iTunes. Kwa hiyo ukifanya mlingannyo wa aina hii utakuta kuwa Google bado sana kuifikia Android.
iOS is Always first
The killer point aliyitoa Brian Tong Mwenyewe ni kwamba App zote za Muhimu zinatangulia kwenye iOS, kwa hiyo Android ni watu wa kuchelewa chelewa. As I speak Summly kwa mfano imeishi hadi kufa (baada ya kununuliwa na Yahoo bila watu wa Android kuionja.
Android is till messed up
Halafu kinachoudhi zaidi kwenye Android app inaweza kuwa kwenye App store lakini haipo compatible na device yako. Nakumbuka BBC Olympic ambayo ilikuwepo kwenye Play Store watu wengi walishindwa kui-install kwa sababu ilikuwa unakubali kwenye divices chache mno. Upuuzi huu pia utatokea tena FAcebook watakapoingiza Home kwenye Play Store, ni device chini ya 8 ndizo wataweza kutumia Home. Waliobaki wakatafute makorokoroni au wabaki hawawezi kuitumia labda mpaka baada ya miezi kadhaa ianze kuroll out kidogo kidogo.
Second Mess!
Kuna device ngapi za Android zimeganda kwenye 2.1, 2.2 hadi Gingerbread, yaani ndio basi tena hakuna ku-upgrade tena. Wakati iOS Kuanzia iPhone 3GS mpaka - 5 zote zinatumia iOS 6 na iPad 2 mpaka iPad with Retina nazo zinatumia iOS 6. Yaani hebu vuta fikra as we speak watu wanaotumia Galaxy S3 hawawezi kuwa na uhakika wa kupata update ya Android 5 Key Lime Pie. Na hata kama watapata basi ni miezi sio chini ya minne baada ya kutoka kwake, by then hiyo KLP imeshapata update say 5.1 hivyo wao watabaki nyuma na 5.0 kama zilivyo nyuma sasa hivi simu nyingi tu za mwaka 2012 ambazo bado hazijapata Android Jelly Bean 2.2.2, ndio maana binafsi katika suala hili huonelea ni vyema kuchagua Nexus Devices, ambazo kwa upande mwengine zina udhaifu mkubwa.
App Enabled Accessories
Huu ndo mpango mzima kwa sasa. Treding iko kwenye app enabled accessories. Wacha vitu kama speakers, cases, docks n.k ambavyo vimepitwa na wakati. Kwenye app enabled Accessories unapata mambo muhimu kama vile kutumia simu yako kama kifaa cha kupima msukumo wa damu (BP), Nike Fuelband (kwa watu wa fitness ndio kifaa bora kuliko vyote) na vingine vya ku-enjoy maisha kama vile baby monitor, Elgato Eye TV, weighing scale (Samsung nao wamejitutumua ndio ya kwanza inatoka mwaka huu wakati kwenye iOS ina kama miaka miwili). Kwa hyo hapa napo utakuta Android bado kabisa.
I think Android is so messed up, there is so much to be cleaned up. Na CNET hawakuliangalia jambo hili kwa umakini sana. Mwisho kabisa sina maana kwamba kwenye Android hakuna zuri au lililobora kuliko iOS lakini lengo ilikuwa ni kudhihirisha kwamba Android bado ina udhaifu mwingi tu. Vile vile nakubaliana na baadhi ya hoja za akina Tong kwamba Apple wanahitaji kubadili Kbaadhi ya mambo katika iOS.
At the end of the day; matumizi ya mtumiaji, kiwango cha ujuzi na aina ya shughuli anazofanya ndio muamuzi mzuri ni OS gani inamfaa zaidi.
I felt the same way when CNET clumsily declared Android is better than iOS, which means your comment that I sound biased makes you biased as well. That is how things are, biasness is part of our judgements. At least I mentioned reasons that made me "biased".AFAIK you still sound like a biased fanboy ...
naamini ipo siku utakuja kufuta hii kauli yako
Sometimes u have to lay low and learn from others .... Hapa tunazungumzia real iOS and Android experience na sio what you memorized from blogs or techwebsites....
Kama hujawahi kutumia Android or iOS seatback and learn from others... Don't act like a moderator Chief...... Subiri thread ya dwarf Nokia or dead Symbian (RIP)....