Android,computer apps.and all...........read!!!!!

erastor

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
19
Reaction score
2
Android application development kwa yeyote mwenye uhitaji wa kutengenezewa application ya android kwa matumizi ya kiofisi,binafsi and other uses anaweza kuwasiliana nami nkamfanyia mpango,pia application za window kwa matumizi uyatakayo na pia themes zako mwenyewe za android ambayo utaweka lolote utakalo pia zinakua developed so please kwa muhitaji ncheki then tutafanya negotiation.....out!!!!
 
Hii ndo inakuaje mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii ndo inakuaje mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Apps.za kutumia kwenye simu yako au ya mwingine mwenye android inakua developed kulingana na unavyohitaji kama ni kujitangaza ama kutambulisha biashara yako na vitu vyako...
 
Apps.za kutumia kwenye simu yako au ya mwingine mwenye android inakua developed kulingana na unavyohitaji kama ni kujitangaza ama kutambulisha biashara yako na vitu vyako...

sawa mkuu
 
hata kwenye cm mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…