android application

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
naomba maujuzi kwamba!,hivi hizi program za android zatumika pia ktk komputa kama tunavyozitumia ktk smartphone,ipad na tablets zingine???. kuuliza si ujinga
 
naomba maujuzi kwamba!,hivi hizi program za android zatumika pia ktk komputa kama tunavyozitumia ktk smartphone,ipad na tablets zingine???. kuuliza si ujinga

Kwa uelewa wangu jibu hapo ni "HAPANA" kwani app ya simu na program za kwenye kompyuta haziingiliani katika utendaji kazi hivyo app iliyotengenezwa kwa ajili ya Android Os itafanya kazi kwa android devices tuu na za Window / Mac vile vile zitafanya katika Os husika..!!
Japo kuna windows phone ila nazo sidhani kama application za kwenye Pc hufanya kazi kwenye hizo simu.


Ni app gani hiyo ya kwenye android iliyokufanya utake kujua kama inaweza kufanya kazi na kwenye Kompyuta pia??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…