Android and iOS development

Jonny slobo

New Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4
Reaction score
2
Test Duka App kwa play store. Nametumia React native technology wanayoitumia Facebook na apps zake kama Instagram na nyingine kibao. Kwa yeyote anayehitaji app Android pamoja na iOS tuwasiliane.

Duka App ni app ya kununua bidhaa mbalimbali kutoka china na ndani ya Tanzania.

Jaribu kuipitia pitia utoe na some suggestions ili iboreke zaidi.

Link ya kupakua Duka App hii apa [emoji116][emoji116]
Duka App - Nunua Online, Shopping Mall - Apps on Google Play


Kama unauhitaji wa kutengeze apps kwa bei nafuu nichek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajibrand sio...By the way hongera


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tafadhali shughulika kidogo kwenye interface. Icons zinahitaji rework, kwa sababu ume assign icons ambazo kidogo haziendani kimaana na tafuto lengwa. Kama vipi tafuta graphic designer ambaye yupo vizuri ili akudesignie icons na design ambayo italeta ile feeling ya kiduka. You know wenzetu app zao wanazipa feeling flani of reality, wataweka few terminologies ambazo zitampa mtumiaji interaction nzuri na app hiyo. Mf. mzuri nimeona hapo umetumia slogan ya "Duka App, kwa mahitaji yako ya kila siku.
 
Shukrani sana. Umenipa mwanga hapo. Nadeal nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…