Ha ha!wabongo shida yetu tunapenda sana miujiza,si wabongo tu,nadhani ni tatizo la waafrika...Hata ukicukulia world cup,utaona the same thing...Miracles expectation...Tizama nchi kama ufaransa na wachezaji wenye vipaji vya hal ya juu ambao ni masupastaa uko ulaya,lakini captain wao alisema wazi kabisa kuwa hawategemei miujiza,Patrice Evra aliweka wazi kabisa,sasa sisi ni miujiza tu,yote haya ni miracles expectation,kama mnaona hamuwawezi jiungeni nao...Teh teh teh!