[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Andres Iniesta anaweza kucheza eneo analocheza Xavi Hernandez japokuwa si kwa kiwango cha muhusika (namba 8) lakini bwana xavi hernandez hawezi kucheza nafasi ya andres iniesta (namba 10, 11) hata kwa nusu saa.
Ni rahisi kumpata mrithi wa xavi hata mitaa ya buza kuliko kumpata mrithi wa iniesta kwenye sayari hii ya dunia, hiyo kazi imemshinda isco alcaron, phelippe coutinho na wengineo watashindwa kurithi nafasi ya ball dancer
His silky dribbling, close control and unimaginable vision makes him the embodiment of the modern playmaker.
Udhaifu wa xavi hernandez hawezi dribbling ila ni master wa position (anaweza kuiharibu defence ya timu pinzani bila ya kusogea hatua tano mbele), ndio maana alikuwa ni bingwa wa kugusa mpira mara nyingi ndani ya uwanja
Ni sahihi kumfananisha xavi hernandez na hawa wafuatao
Xavi Hernandez vs Sesc Fabregas
Xavi Hernandez vs Andrea Pirlo
Xavi Hernandez vs Paul Scholes
Xavi Hernandez vs Sneijder
Xavi Hernandez vs Sebastian Veron
Juan Roman Riquelme: "I watch Iniesta and realize that even at my age I could be learning new things.
Nkajua ni George anachambua.[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Andres Iniesta anaweza kucheza eneo analocheza Xavi Hernandez japokuwa si kwa kiwango cha muhusika (namba 8) lakini bwana xavi hernandez hawezi kucheza nafasi ya andres iniesta (namba 10, 11) hata kwa nusu saa.
Ni rahisi kumpata mrithi wa xavi hata mitaa ya buza kuliko kumpata mrithi wa iniesta kwenye sayari hii ya dunia, hiyo kazi imemshinda isco alcaron, phelippe coutinho na wengineo watashindwa kurithi nafasi ya ball dancer
His silky dribbling, close control and unimaginable vision makes him the embodiment of the modern playmaker.
Udhaifu wa xavi hernandez hawezi dribbling ila ni master wa position (anaweza kuiharibu defence ya timu pinzani bila ya kusogea hatua tano mbele), ndio maana alikuwa ni bingwa wa kugusa mpira mara nyingi ndani ya uwanja
Ni sahihi kumfananisha xavi hernandez na hawa wafuatao
Xavi Hernandez vs Sesc Fabregas
Xavi Hernandez vs Andrea Pirlo
Xavi Hernandez vs Paul Scholes
Xavi Hernandez vs Sneijder
Xavi Hernandez vs Sebastian Veron
Juan Roman Riquelme: "I watch Iniesta and realize that even at my age I could be learning new things.
don katika ubora wako wa kunipaka mafuta kwa nyuma ya chupa..Daemusin ni shida kwenye hizi kazi za uchambuzi.
don katika ubora wako wa kunipaka mafuta kwa nyuma ya chupa..
hivi kweli uandishi huu wa copy and paste nitaweza kuingia kwenye anga za magwiji kama vile mosdef, captain marvelous, m-mbabe, chief-mkwawa, belo, PTER, lembu, king Ngwaba na bila ya kumsahau captain ollachuga.
ahsante sana brother (ile mechi yenu na bwana zitto junior ilimalizika vipi?)Kila mtu ana vionjo vyake kwenye uandishi, wewe kuna style fulani unayoitumia, inashawishi kuendelea kusoma na mtu kutamani uandike zaidi.
Mkuu huwa najitahidi sana nisipitwe na makala zako kwenye jukwaa lenu.
ahsante sana brother (ile mechi yenu na bwana zitto junior ilimalizika vipi?)
teh teh teh
dar-es salaam amani bado ipo?
bwana corona ameshautia mguu mchuzi
swadakta, kabla ya mechi huwa ameshaandaa mpango wake utakaomuwezesha apate ushindi wa knock out.Zitto Junior anajiita mshabiki wa Atletico Madrid, na kwa sababu Atleti walituadabisha kwetu hata unapobishana na mshabiki wa timu iliyokupa kipigo huku na huku inabidi tu utumie diplomacy, maana hachelewi kukumbusha kipigo alichokupa.
Dar ndo kwanza corona imefika. Hatujui hizi wiki mbili zitakuwaje, ngoja tuone.
swadakta, kabla ya mechi huwa ameshaandaa mpango wake utakaomuwezesha apate ushindi wa knock out.
ila jamaa ni mjengaji hoja mzuri sana (nilifikiri yupo vizuri kwenye ulimwengu huu wa kibabe tu) kumpe mpaka kwenye sports anasukuma dozi nzito
mara nyingi yanakuwa ni mapenzi ya mdomoni ila moyoni wengi wao hubakiwa na upendo wao.....Yuko vizuri sana, sema mimi huwa kuna wale washabiki wanaoshabikia timu kama Tottenham, Atletico, sijui Newcastle, naona ni wajanja wa kukwepa kuchekwa timu ikichemsha. Maana hakuna mtu mwenye muda na hizo timu.
Wanakuwa wamejijengea wigo wa wao kuzicheka zaidi timu kubwa, maana wao hawana cha kupoteza kwenye timu zao, mara nyingi nawakwepa.
mara nyingi yanakuwa ni mapenzi ya mdomoni ila moyoni wengi wao hubakiwa na upendo wao.....
sijambo rahisi kuacha kushabikia timu kubwa kwa kigezo cha kufanya vibaya baadae ushabikie timu nyengine iliyo chini kiubora
Wewe ndio unajua vizuriTukianza kuongelea hawa wawili hakuna linalppingika kwamba ile dream team alietaka johan cryuff ilitimia zaidi na vijana hawa wawilii wakiongozwa na Pep
Lakini tukisema iniesta ni bora kuliko Xavi tutadanganyana Xavi alikua ndio mhimili mkuu na roho ya timu ukizingatia tik tak iliwafanya wamiliki mpira zaidi kuliko kukaba Xavi ndio alikua mtu kwenye kile kikosi
Xavi alikua ana jicho kali sana
Xavi alikua anajua muda gani wa kuachia mpira mguuni mwake
Xavi alijua muda gani wa kuenda kuchukua mpira eneo husika
Xavi aliwacontrol kila mmoja kwenye timu iniesta alikuja kuwa bora kwa sababu alikaa na mtu bora na kurithi vingi kutoka kwake lakini the midfield maestro alikua ni Xavi hernandez
Sent using Jamii Forums mobile app