Naomba aliye na andiko mradi wowote unaohusu shule naomba anisaidie nina shida nalo sana !! Nataka kutumia kama fremu work niandae kazi mradi ya shule, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atakayenisaidia
Hbari za jioni ... Naomba aliye na andiko mradi wowote unaohusu shule naomba anisaidie nina shida nalo sana !! Nataka kutumia kama fremu work niandae kazi mradi ya shule , natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atakayenisaidia