M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,510 Reaction score 6,893 Sep 10, 2018 #1 Somo limeeleweka wanafunzi 30 kati ya 32 wameweza kuelezea maana ya msamiati jiwe. Wanafunzi wawili ambao hawajaelewa wamepewa muda wa ziada kuangalia hotuba za kinala wa kauli tata
Somo limeeleweka wanafunzi 30 kati ya 32 wameweza kuelezea maana ya msamiati jiwe. Wanafunzi wawili ambao hawajaelewa wamepewa muda wa ziada kuangalia hotuba za kinala wa kauli tata
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Sep 10, 2018 #2 Baada ya hapo wewe kama Mwl umepata kujua nini?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Sep 10, 2018 #3 mimi mwanafunzi wa 3 sijaelewa