ANC vs Julius Malema - Tunajifunza nini?

Idimi

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,623
Reaction score
11,635

Huyu 'Kafulila' wa Afrika Kusini naona kasumbua sana vichwa vya akina Zuma na Montlante, kwa kutaka 'vya wakubwa'. Nimefuatilia sana mikasa ya Malema na siasa za kupanda na kushuka kwake, naona kama vile ataimarika iwapo atajiunga na chama kingine, kwa sababu bado ana wafuasi wengi sana nchini mwao. Hili wazo lake la kutaka kuwa mfugaji na kuachana na siasa sidhani kama ni jema sana, bado Afrika Kusini inamuhitaji katika siasa.
Ni mtazamo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…