Nashangaa sana kwa nini hii ngozi nyeusi haitaki kujifunza kupitia historia. Nchi jirani Zimbabwe inamatatizo kibao because of so called nationalization and land reform, black south africans wanataka the same!!!! kweli naamini africans we are short sighted!! Mnakumbuka enzi zile Zimbabwe inaitwa 'KAPU LA AFRIKA' leo hii wao waliokuwa wanasambaza shakula barani afrika wanakufa na njaa!! Zimbabwe central hospital iliyokuwa inasifika sana barani afrika mpaka baadhi ya madaktari wetu kutoka muhimbili wakawa wanakimbilia huko, leo inashindwa hata kutibu cholera!! SOUTH AFRICA NDO WANACHOTAKA HICHO!!!
Most of black south africans are lazy, hawafanyi kabisa kazi hawa watu, wao ni kudemand tu, tunataka hiki tunataka kile... Hii nchi(south africa) inapoelekea ni kubaya sana na kibaya zaidi itaathili na nchi nyingi sana za kiafrika.
HISTORIA NI MWALIMU MZURI SANA WA KUTUPA MUELEKEO....