ANC chama bora Afrika

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,858
Baada ya tathmni. Vyama vingi Africa vinashindwa kuwajibsha wenyevit wao pale wanaposhindwa kulinda maslah ya wanna chi. Lakn ANC sio ya mchezo...je nini fundsho kwa vyama vngine
 
Baada ya tathmni. Vyama vingi Africa vinashindwa kuwajibsha wenyevit wao pale wanaposhindwa kulinda maslah ya wanna chi. Lakn ANC sio ya mchezo...je nini fundsho kwa vyama vngine
Hakina ubora wowote, kingekuwa bora zuma hakupaswa kuwa raisi ni mihemko tu na propaganda zilizowafanya wampige chini mbeki.
 
Walifanya hivyo kwa Mbeki, wakati huo Zuma akiwa makam wake.
Wakaamin Zuma ni tofauti na Mbeki (wrong thought)
Wamefanya kwa Zuma, wakati huu Ramaphosa ni makam wake.
Wanaamini Ramaphosa ni tofauti na Zuma (wrong thought too)

After Time

Watafanya hivyo kwa Ramaphosa, wakat huo ...... atakuwa makam wake..
Mwisho raia watashtukia game, wataadhibu
 
Baada ya tathmni. Vyama vingi Africa vinashindwa kuwajibsha wenyevit wao pale wanaposhindwa kulinda maslah ya wanna chi. Lakn ANC sio ya mchezo...je nini fundsho kwa vyama vngine
Zuma alishakabidhi uongozi wa chama kabla hajajiuzuru. Hakuna chama kinachoweza kumuondoa madarakan rais wakati huo huo akiwa ndie kiongozi wa chama. Kwanza unaanzaje maana vikao vya chama vyenyewe anaviongoza mwenyewe. Miaka ya nyuma walishindwa kwa sababu Zuma alikua ndio kiongozi mkuu wa chama na sasa hivi wameweza kwa sababu alishakabidhi uongozi wa chama.
 
Hivi SA huwa kuna rais au msemaji wa serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…