Yaani simu yangu ipo Android 6 sahivi, ipo rooted Na pia twrp imekuwa installed teyari, sasa nilipata Ile update ya Android 8 kutoka Google, nikaidownload ilivofika ule muda wa kurestart ikanipeleka kwenye twrp Na Mimi hata sijui chochote kuhusu hivo vitu, so kama ukiweza nielekeza kwanzia mwanzo itakua poa sana , PS. Hii simu nimenunua second hand Hong Kong so ndio nimekuta ipo rooted teyari Na pia ipo installed Na twrp
Mkuu, Mimi nipo stock rom, ila simu nimekuta Ina TWRP , nilivowasha simu nililetewa notification Ile ya update to Android 8 , hiyo no official so nadhani ni stock , Sasa nikaupdate nilivomaliza ikafika time ya kurestart nilivyoclick restart, ikanileta kwenye hiyo TWRP recovery mode nikawa sijui Cha kufanya, nikaona sehem ya kuizima sim nikazima then nikawasha nikakuta Bado IPO Android 6Inaamna google walikupa update ili hali simu ipo rooted? Au sim ina custom rom na ww ukapewa update ya hiyo custom? Anyway sasa hapo unatakiwa urudi stock rom tu..kwasababu huwez install hiyo Official update kwa twrp...
La sivyo kama update ni ya custom basi utainstall kwa twrp kama kawa
Unakumbuka jina la hiyo update uliyo download?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Mimi nipo stock rom, ila simu nimekuta Ina TWRP , nilivowasha simu nililetewa notification Ile ya update to Android 8 , hiyo no official so nadhani ni stock , Sasa nikaupdate nilivomaliza ikafika time ya kurestart nilivyoclick restart, ikanileta kwenye hiyo TWRP recovery mode nikawa sijui Cha kufanya, nikaona sehem ya kuizima sim nikazima then nikawasha nikakuta Bado IPO Android 6
Nexus 6p
Okey..sasa w ulitaka iende hadi Android 9, official update mwisho ni Android 8,ila kama utatumia custom rom,ndio utafika Android 9
Nataka android 9 mkuu kwa kutumia custom romOkey..sasa w ulitaka iende hadi Android 9, official update mwisho ni Android 8,ila kama utatumia custom rom,ndio utafika Android 9
Sasa ww unatakaje mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mkuu...namimi nikasahau kabisa huu uziboss kwema, shukran niliweza kuflash stock rom kwenye motorola z2 force kupitia guide ya ile link uliyonipa, kuhusu hii nexus 6p kumbe haijawa rooted mkuu, ina twrp tu, nimeona ni bora niweke android 9 pixel experience, unaweza ukawa na link yenye guide kama ile ? Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mkuu...namimi nikasahau kabisa huu uzi
Kama haijawa rooted basi itabidi kwanza uroot kisha ndio utaweza flash hiyo pixel experience
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee nimeweza weka custom rom kwenye nexus 6p, lineage os 16 bila gapps maana niliweka gapps nikawa napata pixel setup crushing nikafanya tena install bila gapps, sasa shida nikijaribu kuingia kwenye browser yani hakuna chochote kinaload na data ipo on na apn nimeweka , yani inasoma H ila ndoivo haiload chochote haat kuweka email haitaki, hapa nifanyaje mkuu msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app