Lakini mimi mbona sio kilaza mkuu. Vipi unawajua vizuri?Hao jamaa asilimia kubwa uwa hawachukui vilaza....
Asante sana mkuu. Ndo maana nimehangaika nao bila mafanikio. Empower wapo msasani maeneo gani?Wanauza kazi hapo. Radar ya mwanzo ilikiwa nzuri wengi walioondoka radar wakaanzisha kampuni inaitwa Empower wako msasani lutheran opp ccbrt hao ni wazuri. Lakini radar wana ubaguzi sana haswa kwa waliosoma nje ya nchi na mambo ya kujuana sana hapo usisumbuke nao
Hao empower wameacha kale katabia ka kutoza tsh 10000 ya registration??? Naona kama na wao ni chenga tu maana kuna jamaa angu aliomba junior position kaitwa kene interview senior position alipowaulizi vipi akaambiwa ni kweli hii nafasi haukuhusu alilipa tshs 10000 kama registration fees et ikitokea nafasi anayofit watamuita, mpaka leo kimyaaa buku ten wamekulaa, angalizo tu msitoe pesa jamaniii, ilinichukua miaka 2 kuanza kuitwa na radar na hiyo ni baada ya cv yangu na profile yangu kene portal yao kuonesha tayar nina experience ya miaka 2, ila kwa sasa pia naona kama wameishiwa kimtindoo.Wanauza kazi hapo. Radar ya mwanzo ilikiwa nzuri wengi walioondoka radar wakaanzisha kampuni inaitwa Empower wako msasani lutheran opp ccbrt hao ni wazuri. Lakini radar wana ubaguzi sana haswa kwa waliosoma nje ya nchi na mambo ya kujuana sana hapo usisumbuke nao
Asante mkuu. Nitatembelea office za empowerHapo Lutheran wamejenga jengo LA ghorofa linatazamana na ccbrt fika pale uliza na pia unaweza uka register free online www.empower.co.tz ujiandae na elfu kumi ya kumaintain database yao. Wakikuita ila hawana longolongo.
Radar zamani walikuwa wa ukweli ukiomba kazi kama statoil au heineken unajibiwa nenda radar lakini utakavyonyanyaswa na wale wahindi pale radar kumbe mwisho wa siku walikuwa wanuza kazi. Angalia wafanyakazi wengi waliokuwa radar utakuta ni former academic, DIS , learn IT , small kenyan colleges yaani ni watu aina fulani hivi na ndio wanaunganishiwa wanakuwa ma HR consultant wa kampuni kubwa kama FNB
Hivi mkuu empower wanapokea CV mkononi? Maana naona nafanya registration inagoma. Wanasema wanatuma activation link lakini haiji. Nimejaribu kwa email mbili tofauti lakini wapi.Empower are the best, register online...apply kaz utaitwa...wapo Msasani Hall floor ya 4 opp na CCBRT...so professional.
Interview kwa njia ya simu ndo ilikuaje mkuu naomba unieleweshe samahani lakini mkuu!Nilifanya nao interview flani ivi kwa njia ya simu! wiki3 zilizopita, kwa upande wangu naona wako poa tu... ukiwa na qualifications wanazotaka.
Asante mkuuSidhani kama wanapokea CV mkononi...una_upload kwenye profile yako online...naku_pm namba ya mtu wa Empower atakupa msaada zaidi.
Mkuu ebu Fanya kunisaidia na mm iyo namba mana namie iyo activation link haiji cku ya nne sasaSidhani kama wanapokea CV mkononi...una_upload kwenye profile yako online...naku_pm namba ya mtu wa Empower atakupa msaada zaidi.
Hongera mkuuRadar wapo vizuri Sana nawakubali mimi wamenipatia kazi ya maana