Hivi hawa wanaojiita Radar Recruitment huwa wanaajiri kweli? Nilienda ofisini kwao mikocheni kuwapelekea CV wakasema hawapokei CV mkononi. Wakasema niweke online, nikaenda nikaweka na kujisajiri kabisa. Nikaanza kuwa naaply kazi zao wanazotangaza, nimeaply zaidi ya kazi 100 lakini sijabahatika kuitwa enterview hata moja.
Link yao hii hapa Radar Recruitment, one of East Africa's leading recruitment agencies: Home
Anayewajua vizuri au ambaye alishawahi kupata kazi kupitia wao naomba anisaidie kwa ufafanuzi kidogo hawa jamaa wakoje na wanahitaji nini hasa.
Je ni recruitment agency ipi iko efficient zaidi maana nyingi naona kama ni za wababaishaji.