borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Nov 26, 2013 #1 Habari.wana jf Nina shida sana NA PC nadhan December nataka nimilik so Msaada kwa anayeuza not above 300k anitafute
Habari.wana jf Nina shida sana NA PC nadhan December nataka nimilik so Msaada kwa anayeuza not above 300k anitafute
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 186 Nov 26, 2013 #2 Ndio boom litakuwa limetoka???
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Nov 26, 2013 Thread starter #3 pitbull said: Ndio boom litakuwa limetoka??? Click to expand... nilishapita huko ktambo
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 26, 2013 #4 Ingekuwa busara zaidi kama hili bandiko lako ungelihamishia kwenye jukwaa la mangazo madogo madogo CC:Invisible
Ingekuwa busara zaidi kama hili bandiko lako ungelihamishia kwenye jukwaa la mangazo madogo madogo CC:Invisible
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Nov 26, 2013 #5 borncool said: Habari.wana jf Nina shida sana NA PC nadhan December nataka nimilik so Msaada kwa anayeuza not above 300k anitafute Click to expand... Kamata hii hapa, Just call 0768 92 48 14 HP Desktop dc5800 with HP LCD 17 Inch Monitor Core 2 Duo 2.1 GHz, RAM 2GB, Hard Disk Drive 160GB DVD Writer Keyboard Mouse Power Cables
borncool said: Habari.wana jf Nina shida sana NA PC nadhan December nataka nimilik so Msaada kwa anayeuza not above 300k anitafute Click to expand... Kamata hii hapa, Just call 0768 92 48 14 HP Desktop dc5800 with HP LCD 17 Inch Monitor Core 2 Duo 2.1 GHz, RAM 2GB, Hard Disk Drive 160GB DVD Writer Keyboard Mouse Power Cables
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Nov 26, 2013 Thread starter #6 WAHEED SUDAY said: Ingekuwa busara zaidi kama hili bandiko lako ungelihamishia kwenye jukwaa la mangazo madogo madogo CC:Invisible Click to expand... Nimekusoma mkuu
WAHEED SUDAY said: Ingekuwa busara zaidi kama hili bandiko lako ungelihamishia kwenye jukwaa la mangazo madogo madogo CC:Invisible Click to expand... Nimekusoma mkuu
K king mario Member Joined Mar 15, 2014 Posts 76 Reaction score 9 Apr 9, 2014 #7 Mwl.RCT said: Kamata hii hapa, Just call 0768 92 48 14 HP Desktop dc5800 with HP LCD 17 Inch Monitor Core 2 Duo 2.1 GHz, RAM 2GB, Hard Disk Drive 160GB DVD Writer Keyboard Mouse Power Cables Click to expand... Unauza bei gani mkubwa?
Mwl.RCT said: Kamata hii hapa, Just call 0768 92 48 14 HP Desktop dc5800 with HP LCD 17 Inch Monitor Core 2 Duo 2.1 GHz, RAM 2GB, Hard Disk Drive 160GB DVD Writer Keyboard Mouse Power Cables Click to expand... Unauza bei gani mkubwa?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Apr 9, 2014 #8 king mario said: Unauza bei gani mkubwa? Click to expand... Hii ilichukuliwa kitambo. Ni PM kama unahitaji. Sema na bajeti yako.
king mario said: Unauza bei gani mkubwa? Click to expand... Hii ilichukuliwa kitambo. Ni PM kama unahitaji. Sema na bajeti yako.
K king mario Member Joined Mar 15, 2014 Posts 76 Reaction score 9 Apr 9, 2014 #9 Mwl.RCT said: Hii ilichukuliwa kitambo. Ni PM kama unahitaji. Sema na bajeti yako. Click to expand... Mkubwa nimefatilia link yao and nimeilewa ila nimejaribu kukujibu inbox ila sina uhakika kama umeipata! sasa vp kuhusu upataji wake ukiwa mikoani, me nipo morogoro
Mwl.RCT said: Hii ilichukuliwa kitambo. Ni PM kama unahitaji. Sema na bajeti yako. Click to expand... Mkubwa nimefatilia link yao and nimeilewa ila nimejaribu kukujibu inbox ila sina uhakika kama umeipata! sasa vp kuhusu upataji wake ukiwa mikoani, me nipo morogoro