Massawe909
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 310
- 472
Habari wakuu
Kwa yoyote alie kuwa anafanya biashara ya kuuza gesi na sasa kabadili biashara, anataka kuuza mitungi mitupu tuwasiliane.
Nataka kuanza hii biashara so natafuta mitungi mitupu kwa bei poa kidogo
Asante.