Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Feb 19, 2021 3,086 4,881 Nov 4, 2021 #1 Wadau najua kuwa Miradi yote ya Serikali Fedha zake hupitishwa na Bunge baada ya Wizara husika kuomba na kutengewa Bajeti. Unapofika Muda wa Utekelezaji Fedha hutolewa na Wizara husika kama Bunge lilivyopitisha. Kinachonishangaza ni hii AWAMU ya 5. Sijawahi kusikia Kuwa SERIKALI imetoa Fedha kwa Ajili ya MRADI FULANI Badala yake Nasikia RAIS AMETOA FEDHA kwanini Isiwe SERIKALI? Mbona Awamu Zilizopita Haikuwa hivyo au Fedha ni za RAIS na sio za SERIKALI?
Wadau najua kuwa Miradi yote ya Serikali Fedha zake hupitishwa na Bunge baada ya Wizara husika kuomba na kutengewa Bajeti. Unapofika Muda wa Utekelezaji Fedha hutolewa na Wizara husika kama Bunge lilivyopitisha. Kinachonishangaza ni hii AWAMU ya 5. Sijawahi kusikia Kuwa SERIKALI imetoa Fedha kwa Ajili ya MRADI FULANI Badala yake Nasikia RAIS AMETOA FEDHA kwanini Isiwe SERIKALI? Mbona Awamu Zilizopita Haikuwa hivyo au Fedha ni za RAIS na sio za SERIKALI?
Cannabis JF-Expert Member Jan 20, 2014 8,943 25,284 Nov 4, 2021 #2 Inaelekea hukuelewa vizuri lile somo la mhimili uliojichimbia chini kuliko mingine, ukiendelea kuufukua huo mhimili utakutana na Rais mwenyewe
Inaelekea hukuelewa vizuri lile somo la mhimili uliojichimbia chini kuliko mingine, ukiendelea kuufukua huo mhimili utakutana na Rais mwenyewe
Ndalilo JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,964 6,348 Nov 4, 2021 #3 Inategemea, labda niku-swalike wewe, anayetembeza bakuli la kuombea misaada kwa nchi matajiri ni Raisi au Samia?
Inategemea, labda niku-swalike wewe, anayetembeza bakuli la kuombea misaada kwa nchi matajiri ni Raisi au Samia?
mdudu JF-Expert Member Feb 6, 2014 6,954 9,857 Nov 4, 2021 #5 Nadhani Sheria zilibadilishwa na Bunge kuanzia awamu ya 5, we kawa kila mradi unaoanzishwa Raisi ndiyo anatoa pesa.
Nadhani Sheria zilibadilishwa na Bunge kuanzia awamu ya 5, we kawa kila mradi unaoanzishwa Raisi ndiyo anatoa pesa.