willetraveller
Member
- Dec 17, 2015
- 12
- 2
mzee baba kuwa serious bas07909990909755346864
Nenda Dar express wananafasi nyingi tu au lazima private?mzee baba kuwa serious bas
nafasi hakuna zimejaa as wanasema hadi 27 ndo kuna nafasi.....Nenda Dar express wananafasi nyingi tu au lazima private?
kaka usikate tamaa wewe nenda pale waambie watakupanafasi hakuna zimejaa as wanasema hadi 27 ndo kuna nafasi.....
Wale ni waongo,nenda ofisi yao pale studio nafasi zipo kibao au ni pm nkuelekeze juzi nimeenda nikaambiwa zimejaa za karatu nikaenda kinondoni zilikuwepo nyingi me ndio nlikuwa wa kwanza,yule dada mweupe anataka watu wajiongeze.Ni pm namba zako me ni nimekuja jana na jana asubuhi walikuwa wanaziuza pale dar ex[pressnafasi hakuna zimejaa as wanasema hadi 27 ndo kuna nafasi.....