Anayepajua Malogoro

Anayepajua Malogoro

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Jaman habari.Naulizia eneo linaitwa Malogoro,hapa Dar es salaam.

Ahsante.
 
Nenda stand ya kwenda kikindu uliza magari yanayoenda vianzi uliza gari za malogoro. Nb kuwa makini kuna funza balaa huko
 
Back
Top Bottom