Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hivi Job ndugai yuko sawa au wivu, au kisasi au, ana lazimisha CAG Nae akaguliwe hesabu zake, je anaye Mkagua CAG nae yeye ana kaguliwa na nani?
Kisheria sijaona kuwa kuna taasisi yoyote ambayo ipo kisheria imepewa jukumu la kukagua hesabu za CAG kwa lugha nyepesi hizi ni mbinu za kumchafua CAG zinazo ratibiwa na JIWE pamoja na wasaidizi wake akiwemo Ndugai
Mwisho kabisa ndugai anasema Masele ana ongea vitu vya ovyo, na anadai kuwa anadhani masele kuwa ajui kilicho mpeleka kwenye bunge la Africa,
Kifupi Mimi nataka kumwambia ndugai yeye ndio ajui wajibu wake pale bungeni kabaki kuwa mtu mlopokaji asie jitambua Askofu shoo Ali muonya tulidhani atajirudi mahali pake cha ajabu ndio anaharibu zaidi
Nadhani hii ni laana ya Madhabau
#2020Mwagapombe