Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Ninaomba picha ya refa aliyechezesha mechi ya Simba na Orlando Pirates huyu ndivyo refa anatakiwa kuwa, ni mtaalam kweli kweli!Jamaa mjinga sana
Na mimi naona hivyo kama wewe.Jamaa alinifurahisha sana, japo anamuiga yule muitaliano
Wewe Profesa umeshindwa nini kuwa refa?Mtu wa form four failure kuwa refari si sawa
Amefanya nini kikubwa cha kumlaumu?Mpuuzi sana huyu dogo. Bongo haina marefa