Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,887
Wapi nitapata, maana nemeshatuma maombi chuo cha afya cha Lugalo.Pale hakuna CLINICAL MEDICINE.
Wapi naweza kupata?Huwezi kupata pale mkuu
Usikariri sana Clinical Medicine.Wapi nitapata, maana nemeshatuma maombi chuo cha afya cha Lugalo.
Coz ya medical lab je na ni bei gan kwa mwakaWapi nitapata, maana nemeshatuma maombi chuo cha afya cha Lugalo.
Ndo inahusika na ninKasome radiography
X ray na ultra sound, ct scan, mri n.kNdo inahusika na nin
Hahahahaha ushindani sio poa umetuma lugalo unazingua utakosa chuo bro ngoja nikuache tuuhWapi nitapata, maana nemeshatuma maombi chuo cha afya cha Lugalo.
Hh nkujaribHaha
Hahahahaha ushindani sio poa umetuma lugalo unazingua utakosa chuo bro ngoja nikuache tuuh
Tuma maombi kwenye vyuo visivyo na ushindani kama kam college chapu unapata bila wasisi vunga mujanja utakosa chuo utakaha kitaha mwaka mzima ukisubili mwakani uombe tena kisa ushindani fata ushauli wangu omba vyuo visivyo na ushindani utakuja kunishukuru hapaHh nkujarib
Naweza kupat chuo gan kk ambacho kipogud kk na ada vpX ray na ultra sound, ct scan, mri n.k
Bc khri tuombe munguTuma maombi kwenye vyuo visivyo na ushindani kama kam college chapu unapata bila wasisi vunga mujanja utakosa chuo utakaha kitaha mwaka mzima ukisubili mwakani uombe tena kisa ushindani fata ushauli wangu omba vyuo visivyo na ushindani utakuja kunishukuru hapa
Hicho hicho muhas angalia kwenye website yao kuna kkila kituNaweza kupat chuo gan kk ambacho kipogud kk na ada vp
Apply st Francis mwaka wa kwanza 1.8m,mwaka wa pili 1.7m mwaka wa tatu 2.08m utapata chuoNaweza kupat chuo gan kk ambacho kipogud kk na ada vp
Huwezi kupata nafasi kwa maksi hizi Mkuu. Jaribu vyuo vingine.Habari za jioni
Anayakifahamu chuo cha Muhimbili Univesity Health and Allied Science naomba anipe maelezo ya ada zao zipoje. Nataka kuapply kozi ya CLINICAL MEDICINE kwa cheti cha kidato cha nne.
Kwa ufaulu ufuatao
Math D
Kiswahili D
Biology C
Geography C
English C
Civics D
Chemisty D
Physics D
History C
Division 3 ya 23.
Alamsiki