Anayejua tafadhari

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hello Jf!
Ninawazo la kununua machine ya kusafishia picha za digital kubwa (5 X 7)na passport sizes ila sijui pa kuanzia maana sijui mambo yafuatayo
-aina ya hiyo machine na jina lake
-Bei ya kununulia ni ngapi
Nawasilisha
 
Hello Jf!
Ninawazo la kununua machine ya kusafishia picha za digital kubwa (5 X 7)na passport sizes ila sijui pa kuanzia maana sijui mambo yafuatayo
-aina ya hiyo machine na jina lake
-Bei ya kununulia ni ngapi
Nawasilisha

Kwa ubora wa picha tafuta printer zitumiazo technolgia ya thermal, "Thermal Printer", Mfano mzuri ni hizi printer za kampuni ya HiTi. Printer ya bei ya chini waweza pata kwa tsh 375,000/- hii ni maalum kwa Passport size. Sikushauri kununu Printers za picha zitumiazo wino wa maji, Sababu ubora wapicha ni mdogo, Japokuwa wengi wanazitumia.

Ili kupata mwanga zaidi kuhusu bei ya hizi "Thermal Printer" aina ya HiTi tembelea hizi site:

HiTi Printer [Official site]
Ebay - HiTi Printer
 
Aksante kwa maelezo mazuri ila nilitaka nipate ambayo inatatoa picha zenye ubora sana
 

broo. hizi printer za hiti, vipi kuhusu upatikanaji wa accessories zake kama vile ribbon na karatasi na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…