Anayejua naomba anisaidie!

Anayejua naomba anisaidie!

KMkhalid

Senior Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
118
Reaction score
227
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa, inasema it's not relevant.
Msaada tafadhali kwa anayefahamu..
 
Syo mtaalama wa hayo mambo bt upate msaada vizuri ungesema una degree ya nn na unaomba nafasi inayohtaji degree ipi ili iwe rahis kwa wataalamu
 
Syo mtaalama wa hayo mambo bt upate msaada vizuri ungesema una degree ya nn na unaomba nafasi inayohtaji degree ipi ili iwe rahis kwa wataalamu
Sawa, Haina shida.... Bachelor degree ya Engineering geology, UDSM, app post ya Tutorial Assistant, Hydrogeology, UDOM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom