Anayejua naomba anisaidie!

Anayejua naomba anisaidie!

KMkhalid

Senior Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
118
Reaction score
227
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa, inasema it's not relevant.
Msaada tafadhali kwa anayefahamu..
 
Nyie wazee wa njoo dm mnazingua, mwaga huo mchele ufaidishe wahanga wengi. Kwa ufupi unatakiwa kuangalia hiyo post ya ajira imewekwa category gani. Kisha uangalie na wewe uliweka hiyo qualification yako ya cheti category gani. Kisha edit
Ahsante sana mkuu. Nimefanya hivi, nimefanikiwa.
 
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa, inasema it's not relevant.
Msaada tafadhali kwa anayefahamu..
Experience na category
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom