Ni shule bomba mkuu, kwa mwaka wa masomo 2013/2014
Ada ya shule na chakula 935,000
Mengineyo wanaosoma Arts 530,000
Jumla muhula wa kwaza 1,465,000
Muhula wa pili 935,000
Jumla kuu kwa mwaka 2,400,000
Michango Mingineyo kwa wanaosoma Arts 530,000 kwa mwaka