Anayehitaji mwalimu wa masomo ya biashara

Flaviank

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Msaada!

Mimi Mwalimu wa COMMERCE NA BOOK-KEEPING natafuta shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo.

Nimehitimu Degree ya Ualimu (Bachelor of Commerce with Education, St Johns University of Tanzania)

0755738672, Asanteni.
 
kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako!
 
kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako!

Kama kahitimu mwaka huu, sidhani km wizara watakuwa washatoa majina
 
kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako!

nimehitimu mwaka huu hivyo sina cheti zaidi ya provisional results tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…