Flaviank Member Joined Aug 22, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Aug 25, 2015 #1 Msaada! Mimi Mwalimu wa COMMERCE NA BOOK-KEEPING natafuta shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo. Nimehitimu Degree ya Ualimu (Bachelor of Commerce with Education, St Johns University of Tanzania) 0755738672, Asanteni.
Msaada! Mimi Mwalimu wa COMMERCE NA BOOK-KEEPING natafuta shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo. Nimehitimu Degree ya Ualimu (Bachelor of Commerce with Education, St Johns University of Tanzania) 0755738672, Asanteni.
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,102 Reaction score 1,331 Aug 25, 2015 #2 fungua tuition
U unduundu New Member Joined Aug 22, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Aug 25, 2015 #3 kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako!
kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako!
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Aug 26, 2015 #4 unduundu said: kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako! Click to expand... Kama kahitimu mwaka huu, sidhani km wizara watakuwa washatoa majina
unduundu said: kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako! Click to expand... Kama kahitimu mwaka huu, sidhani km wizara watakuwa washatoa majina
Flaviank Member Joined Aug 22, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Sep 1, 2015 Thread starter #5 borncool said: Kama kahitimu mwaka huu, sidhani km wizara watakuwa washatoa majina Click to expand... Asante ndugu kwa kunisaidia .... mimi ni mhitimu wa mwaka huu 2015
borncool said: Kama kahitimu mwaka huu, sidhani km wizara watakuwa washatoa majina Click to expand... Asante ndugu kwa kunisaidia .... mimi ni mhitimu wa mwaka huu 2015
Flaviank Member Joined Aug 22, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Sep 1, 2015 Thread starter #6 unduundu said: kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako! Click to expand... nimehitimu mwaka huu hivyo sina cheti zaidi ya provisional results tu.
unduundu said: kwanini usiombe wizarani kama unavigezo? ukiangalia shule nyingi hasa za serikali zina uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo yako! Click to expand... nimehitimu mwaka huu hivyo sina cheti zaidi ya provisional results tu.
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 Sep 1, 2015 #7 Subiri ajira mwakani....muda huu tafuta shule upige kimkataba ata kwa miezi 6