Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

naombeni msaada.....nimeinstall windows 8 but baada ya mda inaniletea blue screen then inajirestart....nifanyaje?
 

Mkuu mimi nahitaji Publishing Software..
 
Usiseme za aina yeyote. Sema hizo chache ulizonazo. Tena uzi list kabisa
 
Aise mi ninazo software yeyote unayotaka na hakuna longolongo. Yeyote mwenye hitaji aniambie nilikuwa sijuwi kama kuna wengi hivi wenye hii shida. Okay leteni request zenu.

Mi nahitaji microsft flight simulator x delux unayo?
 
PrintingPress 7.0, Personal Edition
Mimi nataftahyo hapo juu, kama unayo nichek fasta tufanyebiashara you just pm me.
 
Mkuu adobe photoshop cs6 unayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…